MOJA YA MAKUNDI YATAKAYONUFAIKA NA MRADI HUU
Baadhi ya makundi yatakayonufaika moja kwa moja na Mradi huu wa UWP ni:-
Kwa kuzingatia makundi hayo ya awali, kutakuwa na mgawanyo wa asilimia kwa kila kundi. Mwekezaji atapewa asilimia kubwa ili kuweka mgawanyo wa kulipa deni kwa haraka na wakati, ikizingatiwa kuwekeza ni biashara na inahitaji faida. Hapa chini ni mfano tu wa mapendekezo ya mgawanyo na si halisi inaweza kuamliwa vyovyote kwa makubaliano yanayo faa.